iqna

IQNA

hija ndogo
TEHRAN (IQNA)- Benki ya Amana nchini Tanzania imezindua akaunti ya kuweka akiba ili kuwawezesha Waislamu kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3477068    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/29

Umrah
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Hija na Umrah ya Saudi iliweka jumla ya mahujaji wa kigeni wanaofanya Hija ndogo ya Umra tangu mwanzo wa huu wa Kiislamu ni milioni 4.8.
Habari ID: 3476571    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/16

Hiija na Umrah
TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa takwimu za hivi punde zaidi zilizotolewa na mamlaka ya Saudia, Waislau watu milioni 30 wanaoshiriki ibada ya Hija ndogo ya Umrah wamepokea huduma za hiari katika Msikiti Mtakatifu Mkuu wa Makka, Al Masjid al Haram, mwaka huu wa Hijria Qamaria.
Habari ID: 3476212    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/07

Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Usajili wa alama za vidole utakuwa wa lazima ili kutoa visa kwa wanaotaka kuingia Saudi Arabia kushiriki Hija ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3476195    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/04

Umrah
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia ilitangaza kurejesha utoaji wa visa za Umrah baada ya kusitishwa wakati wa msimu wa Hija.
Habari ID: 3475511    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Waislamu watakaruhusiwa kutekelelza Hija ndogo au Umrah na kuswali katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) imeongezeka hadi laki moja kwa siku kuanzia Oktoba Mosi.
Habari ID: 3474369    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/01